Blogu binafsi kwa ajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga popote pale ulimwenguni kubadilishana mawazo na kupashana habari
Friday, July 08, 2011
KOMBE LA KAGAME
Yanga vs St. George
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga muda mfupi ujao inaingia uwanjani kupambana na St. George ya Ethiopia katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Kagame itakayopigwa katika Uwanja wa Taifa.
fisi wewe kwani kushindwa ni vibaya? nyie mlibebwa mara mbili lakini hamna kitu ,nyie mnatuogopa sisi ndio unakuja hapa useme yanga afungwe,sio haya omba afungwe au nyie mtakufa fainali kumbuka naongea ukweli.
tulipolipa $20 elfu walituona hatuna akili hapa pana viongozi makini tuliangalia uwezo watimu hasara na faida tukakuta ni faida mia kwamia ndiomana tulilipa hizo hela 100-20=80 hii ni kwa wapenzi wasimba waliokua hawajui hesabu tehe tehe teheeee
22 comments:
jamani tupeni matokeoooo
jamani tupeni matokeoooo
jamani tupeni matokeoooo
Halftime sasa bado ni 0-0
Leo hamutoki lazima mupate kichapo tu, piga au mdebwedo
fisi wewe kwani kushindwa ni vibaya? nyie mlibebwa mara mbili lakini hamna kitu ,nyie mnatuogopa sisi ndio unakuja hapa useme yanga afungwe,sio haya omba afungwe au nyie mtakufa fainali kumbuka naongea ukweli.
Sure leo ni kichapo tu hao, wajewagombee nafasi ya 3
we kenge hata ukitukana haikusadii leo subiri upate kichapo tu, mbeleko ya Red sea leo imechanika. mdebwedo kanda mbili wooo wooo
Dakika 90 zimemalizika kwa sare ya 0-0
Tunaingia kwenye Extra time sasa
simba roho zinawadunda kweli kweli.
Jamani matokeo vipi huko ,kwema??
Simba au yanga?
Tumefungwa 1
Ayaaaah..
Vp apo Side mbona hakieleweki?
dah kwa hiyo tumetolewa
YANGA IMEINGIA FAINALI KWA MIKWAJU YA PENATI
Watu EEEEEEEEEEHHHHHHHHH!!!!!!!!
mnyama kisu kimekufuata rekebisha shingo tukate bichwa oooooooooooooooooooyeeeee
waha jamaa walikua wanaomba tutolewee lkn tumewakuta tuonane j,pili
tulipolipa $20 elfu walituona hatuna akili hapa pana viongozi makini tuliangalia uwezo watimu hasara na faida tukakuta ni faida mia kwamia ndiomana tulilipa hizo hela 100-20=80 hii ni kwa wapenzi wasimba waliokua hawajui hesabu tehe tehe teheeee
safi sana Yanga oyeeeeeeeeeee! lazima kieleweke jpili pale taifa
Post a Comment